Tuzo za Muziki za Tanzania zinazodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Lage (KTMA2014), zilifanyika jana Mei 3 katika ukumbi wa Mlimani City ...
DEUS KASEKE WA MBEYA CITY FC AMKARIBISHA LOGARUSIC WA SIMBA

Na Baraka Mpenja, Dar es Salaam KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City fc, Deus Kaseke amefungua milango kwa klabu yoyote inayotaka kumsajili k...
CHAMBUA ASEMA DOMAYO, SURE BOY WATATISHA SAFU YA KIUNGO AZAM

Na Baraka Mpenja, Dar es salaam MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga SC, Tukuyu Stars na timu ya taifa ya Tanzania, Taifa stars, Seklojo John...
LUIS SUAREZ ABEBA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND, HAZARD NAYE HAKAMATIKI LUIS

Luis Suarez ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa Mwaka Chama cha Wachezaji wa Kulipwa England jana baada ya kufunga mabao 30 msimu huu wa ...
ANCELOTTI: OXJENI YA BERNABEU DAWA TOSHA KUWACHAPA BAYERN ANCELOTTI

CARLO Ancelotti anaamini kuwa hali ya hewa iliyopo Real Madrid kwa sasa inatosha kuwapa ushindi dhidi ya Bayern Munich kesho kutwa (juman...
MOURINHO KUPUMZISHA MASTAA KUWASUBIRI ATLETO

JOSE MOURINHO amebainisha kuwa anataka kuwapumzisha Wachezaji kadhaa muhimu watakaposafiri kwenda Anfield hapo Jumapili kucheza na Vinara ...
GUARDIOLA: REAL MADRID NI TIMU BORA MNO, LAZIMA TUKAZE

KOCHA mkuu wa Bayern Munich, Pep Gaurdiola anaamini klabu yake itakabiliana na changamoto ngumu katika mchezo wa nusu fainali ya kwan...
BREAKING NEWZZ! MOYES KIBARUA CHAOTA NYASI MAN UNITED

KUNA taarifa zimezagaa kuwa kocha wa Manchester United, David Moyes amefukuzwa kazi, japokuwa haijathibitishwa na familia ya Glazer amb...
SIMBA YAKERWA NA MAPATO KIDUCHU, HATIMA YA LOGARUSIC WIKIENDI HII

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UONGOZI wa Simba SC unapenda kuwashukuru wanachama na washabiki wake wote hapa nchini kutokana na mshikam...