MAXIMO ASEMA ATASAJILI VIUNGO DIRISHA DOGO, AWAREJESHA MSUVA, KIIZA KIKOSI CHA KWANZA vs AZAM FC MAXIMO ASEMA ATASAJILI VIUNGO DIRISHA DOGO, AWAREJESHA MSUVA, KIIZA KIKOSI CHA KWANZA vs AZAM FC

BAADA ya timu yake kushindwa ‘kufanya kweli’ msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amesema ...

Read more »

BAADA YA RAUNDI SABA VPL; MTIBWA SUGAR, SIMBA NDIYO PEKEE HAZIJAPOTEZA MCHEZO, CITY IKIFUNGA BAO MOJA TU. BAADA YA RAUNDI SABA VPL; MTIBWA SUGAR, SIMBA NDIYO PEKEE HAZIJAPOTEZA MCHEZO, CITY IKIFUNGA BAO MOJA TU.

  Ligi kuu ya soka Tanzania Bara imesimama kupisha michezo ya kimataifa ambayo itapigwa dunia nzima kuanzia mwishini mwa wiki hii. Hadi s...

Read more »

BREAKING NEWS!!! JONAS MKUDE ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA 3 SIMBASC BREAKING NEWS!!! JONAS MKUDE ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA 3 SIMBASC

                Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba kiungo wa klabu ya Simba Jonas Mkude amesaini mkataba mpya wa miaka mitatu nd...

Read more »

‘PHIRI ALIKUWA ‘JICHO TULIVU’ KATIKATI YA DHORUBA SIMBA SC’ ‘PHIRI ALIKUWA ‘JICHO TULIVU’ KATIKATI YA DHORUBA SIMBA SC’

Kuingia katika vitabu vya historia kama kocha pekee kuiongoza timu ‘ mwanzo-mwisho’ kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara bila kupote...

Read more »

SIMBA YAVUNJA MWIKO KWA KUWAFUNGA WALIYOIROGA TAIFA SIMBA YAVUNJA MWIKO KWA KUWAFUNGA WALIYOIROGA TAIFA

BAADA ya kukaa miezi nane bila kupata ushindi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Simba imezinduka na kuichapa timu ‘iliyoi...

Read more »

TAMBWE: NAHESHIMU MKATABA WANGU SIMBA LAKINI……. TAMBWE: NAHESHIMU MKATABA WANGU SIMBA LAKINI…….

MSHAMBULIAJI Amissi Tambwe wa Simba aliyefulia kwa mabao msimu huu, amesema anaendelea kuheshimu mkataba wake na klabu hiyo na hana mpan...

Read more »

SIMBA SC YAMOONGEZA MKUDE MKATABA MPYA SIMBA SC YAMOONGEZA MKUDE MKATABA MPYA

Kiungo wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Jonas Mkude amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu yake ya Si...

Read more »

BAADA YA DROO 12 :MSIMBAZI WATAKA KUVUNJA UKIMYA KWA RUVU SHOOTING JUMAMOSI HII BAADA YA DROO 12 :MSIMBAZI WATAKA KUVUNJA UKIMYA KWA RUVU SHOOTING JUMAMOSI HII

                  UNAJUA kwamba Ruvu Shooting ndiyo timu ya mwisho kufungwa na Simba katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kati...

Read more »

TETESI: VAN GAAL AANZA KUINGIWA NA WASIWASI JUU YA UTAYARI WA FALCAO KUCHEZA EPL TETESI: VAN GAAL AANZA KUINGIWA NA WASIWASI JUU YA UTAYARI WA FALCAO KUCHEZA EPL

Mhariri mkuu wa gazeti la Daily mail Ian Ladyman ni mwandishi wa habari ambaye sifa ya kuripoti habari nyingi zenye ukweli hasa zinazoih...

Read more »

MATOKEO YA USIKU WA ULAYA JUMANNE MATOKEO YA USIKU WA ULAYA JUMANNE

               REAL MADRID 1 VS 0 LIVERPOOL ARSENAL 3 VS 3 ANDERLECHT MALMO 0 VS 2 ATLETICO MADRID BENFICA 1 VS 0 MONACO    ...

Read more »

MTIBWA SUGAR KILELENI MWA VPL HUKU MBEYA CITY MKIANI MTIBWA SUGAR KILELENI MWA VPL HUKU MBEYA CITY MKIANI

Mgambo Shooting ya Tanga ilifanikiwa kupata ushindi wa tatu msimu huu katika ligi kuu Tanzania Bara baada ya kuichapa, Mbeya City kwa ma...

Read more »

"EMMANUEL OKWI AMFANYA AMIS TAMBWE KUONDOKA MSIMBAZI" "EMMANUEL OKWI AMFANYA AMIS TAMBWE KUONDOKA MSIMBAZI"

          Mshambulizi wa klabu ya Simba SC, Mrundi, Amis Tambwe alifunga mabao 19 na kutwaa kiatu cha dhahabu kama mfungaji wa ligi kuu ...

Read more »

BAADA YA VIPIGO VIWILI – KOCHA WA AZAM FC ABWAGA MANYANGA BAADA YA VIPIGO VIWILI – KOCHA WA AZAM FC ABWAGA MANYANGA

BAADA ya timu yake kupoteza mechi mbili mfululizo, kocha msaidizi wa Azam FC Kalimangonga Ongola ameamua kubwaga manyanga. Azam FC, mabin...

Read more »

MBEYA CITY YALIZWA TENA TANGA, YAENDELEA KUSHIKA MKIA VPL MBEYA CITY YALIZWA TENA TANGA, YAENDELEA KUSHIKA MKIA VPL

MBEYA City imepoteza mechi yake ya tatu mfululizo msimu huu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) baada ya kukubali kipigo cha mabao ...

Read more »

Kama, Patrick Phiri si bora, ni nani anayefanya chaguo la Milovan hivi sasa? Kama, Patrick Phiri si bora, ni nani anayefanya chaguo la Milovan hivi sasa?

                Klabu ya Simba SC ipo katika hatua za mwisho za kumrudisha nchini kwa mara ya tatu kocha, Milovan Curkovic. Msebria huyo...

Read more »
 
Top
Top