
Klabu ya Chelsea imefanikiwa kuipiku Liverpool na kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Fc Basle ya nchini Uswizi raia wa Misri,Mohammed Salah kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 1.Salah maarufu kama Messi wa Misri kwa muda mrefu alikuwa akiwaniwa na Liverpool.