MAN UNITED NA CHELSEA AJIANDA KWA USAJILI WA EDINSON CAVANI MAJIRA YA JOTO Manchester na chelsea wajianda kwa ofa ya kumnasa edinson cavan majira ya joto kwa euro 54 million akitokea PSG,Cavani amejikuta akiwa na msimu mguu tangu ajiunge na timu hiyo yenye kukipiga nchini ufaransa