Na Waandishi Wetu
KIFO cha msanii wa Hip Hop Bongo, Albert Kenneth Mangwea a.k.a Ngwea au Mangwair kilichotokea Jumanne wiki hii jijini Johannesburg, Afrika Kusini ‘Sauzi’, kimeendelea kuwagawa Watanzania katika makundi na kusababisha utata, Ijumaa linakuhabarisha.

Kwa mujibu wa ripoti za awali za tukio hilo, Ngwea na mwenzake M 2 the P walizimika wakiwa usingizi ambapo wote walikimbizwa kwenye chumba cha wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya St. Helen Joseph…
0 maoni:
Post a Comment