SEASON YA NANE YA BIG BROTHER KUANZA WEEKEND HII
Siku ya tarehe 26 mwezi huu, itaanza kuonyeshwa rasmi msimu mpya wa big brother "the chase" kwa wale wenye dstv usikose kuangalia kupitia channel 198 upate kujua ni nani atakaeiwakilisha Tanzania mwaka huu. Dola laki tatu kushindaniwa ...Read More
0 maoni:
Post a Comment