MDAU wa safu hii, endelea kuangalia mambo kumi yanayosababisha mwanamke kusaliti. Naamini ukifika mwisho wa makala haya utajifunza jambo.

Kuna aina ya ujinga ambayo inaweza kuwepo kwenye vichwa vya baadhi ya wanaume kwamba wanawake ni chombo cha burudani.

Kwamba makutano ya kitandani ni pale mwanaume anapoamua na suala la mwanamke kufurahia tendo na kuridhika siyo la lazima. Hili ni kosa la kiwango cha juu sana.

Huwezi kuwalaumu vijana wa zama hizi kwa sababu ni utaratibu wa kizamani sana. Mama ndiye mwenye wajibu wa kuhakikisha familia inapata riziki. Aende shamba kulima, arudi nyumbani na mavuno, apike, akachote maji. Wakati baba akiamka anakwenda vijiweni kupiga soga na kuhudhuria vilabu vya pombe.

Baba huyohuyo mvivu asiyependa kazi, akirudi nyumbani bila kuzingatia utayari…

0 maoni:

Post a Comment

 
Top