ASILIMIA 15 ZA SHOW YA FA "THE FINEST" KUPEWA MAMA WA MAREHEM NGWEA

 
  Baada ya show ya Mwana FA "The Finest" Kuahirishwa wiki iliyopita kutokana na msina wa Rapper Abert Mangwea, aliyefariki jumanne ya tarehe 28 May na kuzikwa siku ya jana Morogoro, Kama Zamani The Finest,Imetangazwa tena, na safari hii asilimia 15 ya mapato kutoka katika show hiyo, yatapelekwa kwa mama mzazi wa Ngwea. "nimesema kwamba nitoe hela mfukoni kwangu moja kwa moja,...Read More

0 maoni:

Post a Comment

 
Top