Kala Jeremiah, Profesa Jay na HK katika backstage ya Kili Music Tour

 Profesa Jay akifanyiwa interview na Sam Misago wa East Africa TV
Dullah toka Planet Bongo ya East Africa Radio na TV akiendesha shindano na kuwagawia mashabiki zawadi mbalimbali ikiwemo fedha taslimu.
Wa kwanza katika stage ya Kili Music Tour Tanga alikuwa mfalme wa Taarab nchini Mzee Yusuf
Mzee Yusuf na madansa wake katika jukwaa la Kili Music Tour

Mashabiki waliodatishwa na muziki wa mwambao uliokuwa ukiporomoshwa na Mfalme Mzee Yusuf

Recho nae alipata nafasi ya kuwashukuru mashabiki waliompigia kura na kushinda tuzo

Majanga, Majanga ya Snura

Mwanamuziki anaeaminika kwa kushambulia jukwaa kwa muda mrefu Alikiba katika jukwaa la Kili Music Tour
Dushelele, So Far Away, Cinderella, Single Boy na nyingine nyingi ziliwadatisha mashabiki wengi wa Tanga

Msanii Bora wa Hip Hop 2012, Kala Jeremiah akilishambulia Jukwaa
Mtoto wa Tanga, MwanaFalsafa alikuwa wa pili kuiwakilisha Hip Hop katika Jukwaa la Kili Music Tour

Roma Mkatoliki ambaye nae ni mtoto wa Tanga aliwadatisha mashabiki kibao waliojitokeza kwa wingi katika uwanja wa Mkwakwani.
Na kama ilivyokuwa Tanga, Mkongwe wa Hip Hop Profesa Jay ndiye alifunga Show ya Kili Music Tour Tanga
Shangwe toka kwa mashabiki lukuki waliomwagika Mkwakwani kushuhudia wasanii wakali waliopanda jukwaani

0 maoni:

Post a Comment

 
Top