WAFAHAMU WASANII WALIOSHINDA TUZO ZA KILL MUSIC AWARDS 2013 ILIYOFANYIKA JUNE 8 PALE MLIMANI CITY

              Mrisho Mpoto akikabidhiwa tuzo ya wimbo bora wenye vionjo vya asili "Chocheeni kuni:"

               Ben Pol akiwa kwenye stage na tuzo yake ya Mtunzi Bora wa Mashairi Bongo Fleva.

             Man Walter akiwa na tuzo yake ya mtayarishaji bora wa mwaka -muziki wa kizazi kipya
                       Ommy Dimpoz akiwa na tuzo ya wimbo bora wa bongo pop wa me and you.
                                                     Linah akitoa burudani ya kutosha kabisa
                                                                       Ben Pol na Linah 
                                                                          Peter Msechu
                       Jambo Squad wakikabidhiwa tuzo ya kikundi bora cha muziki wa kizazi kipya
                                                                           Emcee
                                                                             Saida 
                                Chalz Baba amechukua tuzo ya msanii bora wa kiume -bendi
                                   Chalz baba akikabidhiwa tuzo ya mtunzi bora wa mashairi-bendi
                                    Huyu ndiye aliyechukua tuzo ya rappa bora wa bendi 'Fagasoni'
 Amini akitoa shukrani kwa mashabiki wake baada ya kuchukua tuzo ya wimbo bora wa zouk/Rhumba
                                                             Burudani kutoka kwa Madee 

 Kala Jeremiah akitoa shukrani kwa mashabiki wake waliompigia kura baada ya kutia fola kwa kuchukua tuzo tatu, Msanii bora wa Hip Hop,Mtunzi bora wa mashairi ya Hip Hop pamoja na wimbo bora wa Hip Hop kwa kipindi chake cha mwaka 2012/13
 Mzazi Willy M Mtuva kwa niaba ya Chamelione anapokea tuzo ya wimbo bora wa afrika mashariki 'Valu Valu;
                 Ommy Dimpoz kwa mara nyingine tena! Tuzo ya Video Bora ya Mwaka..Baadae!

                 Ommy Dimpoz kwa mara nyingine tena! Tuzo ya Video Bora ya Mwaka..Baadae!


                 Gardner G Habash akipokea tuzo ya Msanii Bora wa Kike kwa niaba ya Lady Jaydee.

0 maoni:

Post a Comment

 
Top