annabel-shower-hour-uchi-bba-big-brother-africa-picha-video
Inaonekana alichofanya Huddah Monroe sio an exception, but the rule katika Big Brother Africa. Baada ya video kusambaa inayomuonyesha Huddah akioga bafuni, video ya mshiriki aliyebaki wa Kenya, Annabel Mbaru, na washiriki wengine wa BBA The Chase wakiwa baufuni uchi wakioga zimejitokeza mitandaoni. Zina hata jina lake kwenye kipindi hicho; zinaitwa “shower hour.” Kwa ambao umri unaruhusu(watu wazima) video hizo zinapatikana kwenye link ifuatayo: BBA Annabel video


0 maoni:

Post a Comment

 
Top