BARCELONA WATOA ADA YA PAUNDI MILLION 29 KWA AJILI YA DAVID LUIZ
timu ya barca sasa yajjitoa muanga kwa ajili ya beki wa chelsea na nyota wa brazili mwenye umri wa miaka 26 kwa kitita cha paundi 29 million kumsajili mchezaji huyo.ujio wa kocha jose umeonekana kuto kuwa na imani na mchezaji huyo pamoja na juan mata raia wa hispania.barcelona wanasubiri jibu la maombi hayo kutoka kwa club ya chelsea

0 maoni:
Post a Comment