BREAKING NEWS: SIMBA YAIPIGA BAO YANGA - YAMSAJILI MFUNGAJI BORA WA KAGAME HAMIS TAMBWE KWA MIAKA 2
Klabu ya Simba ya Dar es Salaam imefanikiwa kumsajili mfungaji bora wa michuano ya Kagame Cup 2013 Hamis Tambwe kutokea Vital O ya Burundi.
Tambwe ambaye pia alikuwa akiwania na mabingwa wa Tanzania bara Yanga, amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia Simba.
Tambwe amesaini mkataba huo mbele ya mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba.
0 maoni:
Post a Comment