CHELSEA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI KATKA MECHI ZA MAJARIBIO
wachezaji waliongoza katika kufunga magoli katika mechi dhidi ya indonesia ni
Eden Hazard 21′ (PG)
Ramires 29′
Demba Ba 31′
John Terry 45+1′
Bertrand Traore 50′
Romelu Lukaku 52′
Ramires 56′
Romelu Lukaku 66′ na kwa upande wa indonesia ni 69′ Greg Nwokolo.kikosi cha chelsea bado chawa katika hali ya maandalizi ya ligi kuu ingawa kocha wake mpya hampi nafasi juan mata nyota aliye ongoza mafanikio ya club hii mwaka jana.jose bado hataki kumbalik lukaku kuwa ndiye drogba mpya ndani ya club ya chelsea
0 maoni:
Post a Comment