Chriss brown leo hii ameoneka akitemana na graffiti yake aliyokuwa ameichora kwenye ukuta wa mbele wa nyumba yake iliyoko Hollywood, baada ya kutakiwa kufanya hivyo, na jiji la LA baada ya majirani kulalamika kuwa hazileti picha nzuri na zinatisha watoto wao.
Ripoti za mwanzo zilikuwa zinadai kuwa CB alikuwa anapingana na jiji la LA tangu mwezi May kuhusu graffiti hiyo iliyokuwa imechorwa jitu la kutisha (monster), na kupinga kuifuta kwa kudai kuwa inalindwa na 1st Amendment ya mwaka 1792 inayodai serikali kuheshim mawazo ya aina hiyo
lakini baada ya kushindwa kwa vita hiyo Brown amesema, ameamua kufuta kwa upendo wake yeye mwenyewe na si kwa kalazimishwa na jiji hilo au kwa kutishiwa kulipishwa fine kubwa kw akosa hilo
Baada ya majirani kulalamika kuhusu picha hizo, jiji lilimtisha kwa kumpiga fine kubwa kama hataifuta ----leo hii wameonekana wafanyakazi wakipaka rangi nyingine juu ya michoro hiyo.
kwa vyovyote vile, idara ya ujenzi kitengo cha usalama cha LA imesema kama wakaguzi wao wataridhika na ufutwaji wa graffiti hiyo, basi CB hatapigwa fine hiyo siku ya kesho.
0 maoni:
Post a Comment