WAZAZI WA BALE WAKAA KIKAA NA DR.LEVY MWENYEKITI WA TOTTENHAM

Gareth Bale
mchezaji mwenye kutaka kuweka records hadi hivi sasa ya usajili bareth bale uwamisho wake umepata nguvu kutoka kwa familia kumuunga mkono mwanae hivyo familia yaka kikao na mwenyekiti wa spurs daniel levy.mwenyekiti wa spurs alikanusha usajili wowote kwa mchezaji huyo licha ya madrid kutoa ofa ya paundi millioni 51 pamoja na wachezaji wake wawili d,maria na fabio coentao.kocha wa spurs AVB ashangazwa na mchezaji huyu kutaka kuondoka mara baada ya yeye mwenyewe kuomba hidhini ya kuondoka clubuni hapo

0 maoni:

Post a Comment

 
Top