HIVI NDIVYO HALI ILIVYO IKULU MUDA HUU KWENYE MAANDALIZI YA KUMPOKEA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA.




Hali kama inavyoonekana kwenye picha zingine ni mambo
yamepamba moto kuelekea mida hii wakati watanzania
wakisubiria kwa hamu kuona ndege ya Rais wa Marekani Mhe
 Barack Obama ikitua kwenye Uwanja wa Kimataifa
wa Ndege wa Mwl.Julius Kambarage Nyerere majira ya saa
 8 mchana akitokea nchini South Africa....
Katika kuonesha ukarimu kutoka nchini kwetu na hiki ndicho
kilichoandaliwa  na Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na mwenyeji wake
Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye mapokezi ya
Rais huyu wa Taifa kubwa Dunia......
Rais Kikwete akisalimiana na Vikundi Maalumu vya
 upokeaji wa ujio huo wa Rais Obama nchini Tanzania...!!
Rais kikwete akiwa Nje ya Ikulu ya Tanzania akiangalia
Mandhari sambamba na Ulinzi Mkali....!!
Rais Kikwete akiangalia Kibao kinachotoa Maelekezo ya
Njia hiyo Mpya ya Barack Obama Drive...

0 maoni:

Post a Comment

 
Top