KURUDI KWA LUKAKU - JE CHELSEA INAMUHITAJI BENTEKE? KUONDOA UTEGEMEZI KWA BALE - SPURS LAZIMA ISAMJILI BENTEKE
Baada ya kuwa na msimu mzuri wa kwanza katika Premier League, hatma yaChristian Benteke ndani ya Aston Villa haieleweki baada ya kuomba kuuzwa rasmi huku akiwa na matumaini ya kwenda klabu kubwa zaidi. Sio kusema kwamba Aston Villa sio klabu kubwa lakini ukubwa unaotazamwa siku hizi ni ule wa pochi la kulipa mishahara mikubwa na kusajili mastaa wenye majina makubwa. Lakini je Benteke ni mchezaji wa daraja la kiasi hicho?
0 maoni:
Post a Comment