MAN U WATENGA PAUNDI MILLION 25.5 KWA AJILI YA FELLAIN WA EVERTON
man utd wahusishwa na kutaka kumsajili mchezaji wa everton fellaini kwa ada ya paundi million 25.5 mara baada ya dili la kumnasa mchezaji wa barcelona cesc fabregas kushindwa kuwa na matumaini kwa mchezaji huyo raia wa hispania.kocha wa man utd david moyes amehushindwa kumtaka mchezaji huyu kutokana na kukasa kiungo wa kati ktk kikosi chake cha mashetani wekundu

0 maoni:
Post a Comment