WACHEZAJI AMBAO WANAWEZA CHUKUA NO 7 YA LUIS SUAREZ 

Jackson Martinez

Jackson Martinez
ni raia wa colombia ni mchezaji mwenye kasi ana chezea fc porto

Luis Muriel


Luis Muriel
ni kijana mdogo mwenye umri wa miaka 22.amefananishwa na ronaldo de lima kwa kiwango chake
Roberto Soldado

Roberto Soldado

ni mchezaji anaye windwa pia na tottenham amecheza michezo141 kafunga goli 81

Oscar Cardozo

Oscar Cardozo
ni mchezaji mahili wa benfica kwa kiwango chake anachokionyesha kwa sasa

Fred


 Fred
ni mchezaji aliye onyesha uwezo mzuri katika michuano ya kombe la mabala lililo isha mwezi jana nchini brazil.

Pablo Osvaldo

Pablo Osvaldo
ni mwenye umri wa miaka 27 raia wa argentina anaye kipiga italy ktk club ya roma ni mahili kwa mipira ya vichwa.mshimu ulio pita aliifungia roma magoli kumi 16



0 maoni:

Post a Comment

 
Top