PICHA ZA SIKU KIKWETE NA OBAMA WAKICHEZA MPIRA KATIKA MAENEO YA UBUNGO PICHA ZA SIKU: OBAMA NA KIKWETE WAKICHEZA SOKA Rais wa Marekani Barack Obama akipiga danadana za kichwa alipokuwa katika mitambo ya kuzalisha umeme ya Symbion Ubungo jijini Dar es Salaam Tanzania. 'Messi mwenyewe haniwezi' Akipiga danadana Hebu Nipasie na mimi uone - Kikwete akisubiri kupasiwa mpira na Obama
0 maoni:
Post a Comment