Real plan £95m Bale offer

Gareth Bale
Real wameongeza kitita cha paundi million 95 kama kifungu cha kumsajili bale kwa mara ya pili baada ya offer ya kwanza ya paundi millioni 81 kukataliwa na tottenham richa ya mchezaji mwenyew kuomba kuondoka clubuni hapo.mwenye kiti dr. levy awa mgumu kumuachia mchezaji huyo.Bale alimwambia anahitaji kwenda real madrid

0 maoni:

Post a Comment

 
Top