Baada ya ukimya wa miaka sita bila ngoma wala interview, leo King Crazy GK akiwa amesindikizwa na East Coast Team nzima kuanzaia AY, Mwana FA, Buf G (Gizinga), Paulin Zongo, Yuzo pamoja na Snea, ameibuka na kudondosha single mpya "Baraka au Laana"  aliyomshirikisha Yuzo.
Hapa GK alikuwa anamzuka balaaa, alikuwa anachana verse yake kwenye wimbo wa "Hii Leo" walioufanya ECT, mara tu baada ya kufika  studio. AY, FA wote walichana verse zao.Nooooma Sanaaaa

0 maoni:

Post a Comment

 
Top