messi,ronaldo and ribery ndo wachezaji watatu wanao ongoza kwa uchezaji bora kwa mwaka 2012/2013.barcelona wanao ongozwa na mu argentiana,bayern munich wanaoongozwa na mfaransa pamoja na real madrid wanao mreno ndo wachezaji walio chaguliwa na viongozi wa UEFA.mshindi atachaguliwa katika kula zitakazo fanyika monaco kupitia droo ya kuchagua makundi ya mwaka 2012/2013 uefa ligi.katika kumchagua mchezaji bora kula hizo zita hesabiwa katika mashine za ki electronic.wachezaji wanao shindanishwa katika droo ni 5.hii ndo lini ya wachezaji kumi waliopo katika kumi bora
4 Robert Lewandowski (POL) - Borussia Dortmund (80 points)
5 Arjen Robben (HOL) - FC Bayern München (55)
6 Thomas Müller (GER) - FC Bayern München (51)
7 Gareth Bale (WAL) - Tottenham Hotspur FC (48)
8 Bastian Schweinsteiger (GER) - FC Bayern München (34)
9 ZlatanIbrahimović (SWE) - Paris Saint-Germain FC (27)
10 Robin van Persie (HOL) - Manchester United FC (24)

0 maoni:
Post a Comment