Waigizaji wa filamu na wageni mbalimbali wakifuatilia filamu ya Lulu. 10
Tapeli Dude akifanya mambo yake wakati wa uzinduzi huo. 11Mwanamuziki Barnaba Classic akiimba kwenye uzinduzi huo. 12
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.1
Elizabeth Michael (Lulu) akiwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam tayari kwa uzinduzi wa filamu yake inayokwenda kwa jina la  Foolish Age
14
Mwenyekiti wa Kampuni ya Proin Promotion akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa filamu ya Foolish Ege.

1a
Jonson Lukaza akizungumza na baadhi ya wageni wake waliohudhuria katika uzinduzi wa filamu hiyo 4
Muigizaji wa filamu Jacob Steven akizungumza na wageni wa kampuni ya Proin Promotion katika uzinduzi huo 5
Muigizaji Vicent Kigosi Ray akiwasili katika uzinduzi huo unaofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City. (PICHA KWA HISANI YA FULLSHANGWE)

0 maoni:

Post a Comment

 
Top