Tabia ya kupiga picha chafu za utupu imeendela kuwatafuna akina dada hapa nchini..... Tabia hii ilianzia kwa wasanii maarufu kama WEMA SEPETU, JACK WA CHUZ, LULU MICHAEL RAYUU na sasa imeingia kwa warembo wa kawaida
Pamoja na jitihada za kuwaanika watu hawa, tabia hii imeendelea kuota mizizi kila kukicha.Wahusika wakuu wa uchafu huu ni akina dada.......
Iko haja kwa akina dada kujithamini.....Kwa nini kila siku ni wao tu???
0 maoni:
Post a Comment