UPDATE: SHEKHE PONDA ISSA PONDA AMELAZWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI KUTIBIWA JERAHA ALILOPATA...!!
KATIBU WA JUMUIYA ZA KIISLAMU TANZANIA SHEKHE ISSA PONDA NI KWELI HAPO JANA ALIPIGWA RISASI NA KWASASA YUPO HOSPITALI YA RUFAA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI NA SI KWELI KAMA YUPO CHINI YA ULINZI WA POLISI KAMA SMS MBALIMBALI KUPITIA SIMU ZA VIGANJANI ZINAVYOSAMBAZWA.PIA JUMUIYA NA TAASISI YA KIISLAMU TANZANIA LEO BAADA YA SWALA YA ALASIRI KATIKA MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI ILITARAJIWA KUTOA TAMKO KUHUSIANA NA TUKIO HILO.
SHEKHE ISSA PONDA AKIUGUZWA MUHIMBILI
SEHEMU ALIYOJERUHIWA SHEKHE ISSA PONDA
0 maoni:
Post a Comment