Mdogo wake na Rapper Profesa J, Black Rhyno, leo hii amepata kuongeza familia yake kutoka wawili mpaka kufikia watatu, baada ya mkewe kujifungua salama mtoto wa kike leo hii mida ya saa 7:30 mchana katika hospitali ya taifa ya Muhimbili.

furaha aliyokuwa nayo haikuishia tu kwake, bali aliamua ku-share na mashabiki wake kupitia ukurasa wake wa facebook.

0 maoni:

Post a Comment

 
Top