DANIEL STURRIDGE NA KOCHA WAKE BRENDAN ROGERS WAIBUKA TUZO ZA MWEZI AUGUST EPL Baada ya kuiwezesha Liverpool kuanza vizuri msimu wa ligi kuu ya England - Kocha Brendan Rogers na mshambuliaji wa timu hiyo Daniel Sturridge wameshinda tuzo za mwezi za EPL.kocha wa liverpool brendan rogers daniel srurridge
0 maoni:
Post a Comment