Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera Akiwasili Kwenye Uwanja wa Shujaa Mkoani morogoro Akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mh Said Amanzi Wakati wa hafla fupi ya kumpongeza Bondia Francis Cheka aliyeiletea sifa nchi kwa kushinda ubingwa wa dunia kwa Kwa kumchapa bingwa wa dunia Mmarekani Bondia Williams
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera Akimpokea Bondia Francis Cheka wakati akiwasili uwanjani katika halfa ya kumpongeza Bondia huyo aliyenyakua Ubingwa wa Dunia Kwa Kumchapa bondia kutoka Marekani.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Joel Bendera Akikabidhiwa Mkanda wa Ubingwa wa Dunia kutoka kwa Bondia Francis Cheka Leo Mjini Morogoro
Bondia Francis Cheka akitoa neno la Shukrani na Pembeni yake Ni Mke wa Bondia Huyo
Kocha wa Bondia Huyo Aliyefahamika kwa jina la Komando Akisema Machache wakati wa Halfa hiyo leo
Mkuu wa wilaya ya Mvomero na rais wa Riadha Tanzania Mh Antony Mtaka Akisema machache
Akizungumza katika hafla Mkuu wa Mkoa Mh Joel Bendera alisema ushindi wa Cheka ni sifa kwa tanzania katika mchezo wa ngumi. Bondia Francis Cheka amezawadiwa kiwanja mabati, na Tani moja ya saruji Picha na MATUKIO NA MICHAPO BLOG
0 maoni:
Post a Comment