...Akipiga saluti kwa mashabiki waliofurika katika Viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii Kijitonyama usiku wa kuamkia leo.
MWANAMUZIKI Nana Richard Abiona maarufu kwa jina la Fuse ODG kutoka nchini Uingereza, usiku wa kuamkia leo amewapagawisha wapenzi wa burudani jijini Dar es Salaam kwa shoo kali aliyopiga. Fuse ODG alifanya makamuzi ya nguvu na kuwapa raha mashabiki waliofurika katika Viwanja vya Chuo cha Ustawi wa Jamii hasa alipoimba nyimbo zake kali mbili za Azonto aliyomshirikisha msanii wa Ghana,Tiffany pamoja na Antenna aliyofanya na Wyclef Jean.
tunda man akiwa na madee
tunda man akiwa na chid beenz na picha hiyo juu ni mshindi wa bss water chilambo
mama snura akiwa kwa stegi
vanesa mdee akiwa kwa stegi na pembeni ni msani gosby
0 maoni:
Post a Comment