Kuna habari ambazo zilianza kusambaa mitandaoni jana kuwa mastaa wa filamu nchini Chuchu Hans na Blandina Chagula(Johari) wamefumaniana kisa ni muigizaji mwenzao Vicent Kigosi(Ray).
Inadaiwa kuwa Johari ndiye amemfumania Chuchu nyumbani kwa Ray maeneo ya Sinza, Dar es salaam na wawili hao kuanza kufumuana makonde na baadaye Ray kuwahi kuwaamulia kabla mambo hayajaharibika zaidi.
Habari za chumbani zinaarifu kuwa Johari na Ray ni wapenzi lakini kwa muda mrefu wamekuwa wakijicha kukwepa kuanikwa magazetini.
0 maoni:
Post a Comment