club ya ac milan yadhibitisha kumsajili mchezaji wa real madrid Ricardo Kaka kwa uhamisho wa pa .undi millioni 4.kaka amesaini mkataba wa miaka miwili kukipiga tena clabuni hapo.kaka ambaye aliichezea ac milan mwaka 2003 hadi 2009 na kufanikisha club hiyo kuchukua kombe la uefa katika kipindi hicho.kuondoka kwa kaka katika kikosi cha kocha mpya wa real kumetokana na mchezaji huyo kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza cha club hiyo.
KAKA AJIUNGA NA AC MILAN KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI
club ya ac milan yadhibitisha kumsajili mchezaji wa real madrid Ricardo Kaka kwa uhamisho wa pa .undi millioni 4.kaka amesaini mkataba wa miaka miwili kukipiga tena clabuni hapo.kaka ambaye aliichezea ac milan mwaka 2003 hadi 2009 na kufanikisha club hiyo kuchukua kombe la uefa katika kipindi hicho.kuondoka kwa kaka katika kikosi cha kocha mpya wa real kumetokana na mchezaji huyo kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza cha club hiyo.
0 maoni:
Post a Comment