Arsenal yafanikiwa kuvunja record ya usajili katika club hiyo baada ya kumsajili mshambuliaji raia wa ujerumani ambaye alikuwa akikipiga katika matajiri wa spain real madrid.Bergkamp ni miongoni wachezaji walio sajiliwa na club ya arsenl miaka ya nyuma na walifanya makubwa clabuni hapo.Real iliamua kumuachia mchezaji huyo mara baada ya ujio wa mchezaji nyota wa club ya tottenham kusajiliwa na club hiyo.wachezaji walio ondoka katika club ya real ni ozil na kaka ambaye amejiuna ac milan ya italynga
OZIL ASAJILIWA ARSENAL KWA ADA YA PAUNDI MILLIONI 40
Arsenal yafanikiwa kuvunja record ya usajili katika club hiyo baada ya kumsajili mshambuliaji raia wa ujerumani ambaye alikuwa akikipiga katika matajiri wa spain real madrid.Bergkamp ni miongoni wachezaji walio sajiliwa na club ya arsenl miaka ya nyuma na walifanya makubwa clabuni hapo.Real iliamua kumuachia mchezaji huyo mara baada ya ujio wa mchezaji nyota wa club ya tottenham kusajiliwa na club hiyo.wachezaji walio ondoka katika club ya real ni ozil na kaka ambaye amejiuna ac milan ya italynga
0 maoni:
Post a Comment