iker casillas amejipa miezi 3 ya kuwepo katika club yake ya real madrid kutokana na kuchoshwa kuwekwa bench katika club hiyo,ingawa iker alipenda kuendelea kuwemo ni miongoni mwa wachezaji wa kutegemewa clabuni hapo.Casillas amesisitiza kama hali itakuwa hivi kwa miezi 3 ataopa kuondoka clabuni hapo.
Casillas alisema hayo akiwa kwenye sherehe za kitaifa realmadrid wamebaki wao kuchaguwa iker ameongea hivi kama mchezaji yoyote anayependa kuchezea real.
Casillas amekuwa kwenye majonzi katika club hiyo mara baada ya jose mournihno kuwa kocha wa club hiyo na ss ni ancellot pia,nimekaa bench sana hali ambayo inanifanya kiwango changu kushuka.nilikuwa na matumaini ya kucheza zaidi katika club yangu ya sasa.madrid n club kubwa na ina wachezaji wakubwa dunian kila mchezaji anajituma ili aweze kuchezeshwa clabuni hapo.ingawa kila mchezaji n mbinafsi.kwa ss najituma katika mazoezi yangu nikisubiri uwamuzi wa kocha wetu mpya
0 maoni:
Post a Comment