Diamond Platnumz leo hii amefunguka kuhusu kuvuja kwa ngoma yake "Nikifa Kesho" ambapo amemlaumu producer na inaonekana sababu ni baada ya yeye kuacha kurecord katika studio hiyo.
Bado haijajulikana producer huyo ni nani hasa...endelea kufatilia hapa utajua
0 maoni:
Post a Comment