ikiwa ni wiki chache kwa kesi ya agness masogange kukamwatwa nchini Afrika kusini kwa kubeba dawa za kulevywa na kesi hiyo kuisha kwa kutoa faini jana jumanee agness awasili nchini Tanzania akitokea afrika kusini
Masogange

picha hii juu ni picha aliyopost agness kupitia page yake ya instagram akisema "am cmng homeeee.mwezi ulio pita agness na mdogo wake mellissa edward waliachiwa huru mara baada ya kukosa ushahidi

0 maoni:

Post a Comment

 
Top