Nu Joint:Nay wa Mitego-Nakula Ujana Hitmaker wa Salama Zao 'Nay wa Mitego'anatarajia kudondosha mzigo mpya unaofahamika kwa jina 'Nakula Ujana' Novemba 20 siku ya kesho. Kaa tayari