Straika wa Man United, Robin van Persie atakuwa nje ya uwanja kwa muda wa mwezi moja na kukosa mechi nane za timu yake kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya nyama za paja.

Mshambuliaji huyo alianza kupata maumivu katika mechi dhidi ya Shakhtar Donetsk, Jumanne iliyopita, maana yake ni kuwa atakuwa nje ya uwanja mpaka Januari mwakani.

Mechi ambazo atazikosa Van Persie ni:

Aston Villa, Desemba 15, 2013

Stoke, Desemba 18, 2014 

West Ham, Dec 21, 2013

Hull, Dec 26, 2013 

Norwich, Dec 28, 2013 

Tottenham, Jan 1, 2014 

Swansea, Jan 5, 2014 

Swansea, Jan 11,…
 
Top