Timu ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ imetwaa kombe la michuano ya Chalenji 2013 iliyomalizika nchini Kenya baada ya kuifunga Sudan bao 2-0 katika fainali iliyomalizika hivi punde katika Uwanja wa Nyayo nchini humo. Mabao ya Harambee Stars yamewekwa kimiani na Allan Wanga katika dakika ya 35 na 69.
Home
»
»Unlabelled
» KENYA BINGWA KOMBE LA CHALENJI 2013