TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' imeondolewa kwenye michuano ya Kombe la Chalenji inayoendelea nchini Kenya baada ya kufungwa na timu ya Taifa ya Kenya 'Harambee Stars' bao1-0 katika mechi iliyomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Nyayo uliopo jijini Nairobi!
Home
»
»Unlabelled
» KILI STARS YAONDOLEWA CHALENJI, YAPIGWA NA HARAMBEE STARS 1-0