SIKU ZANZIBAR ILIPOFUKUZWA HOTELINI KENYA! Rais wa Chama Cha Soka Nchini Kenya Sam Nyamweya alikuwepo kusawazisha songombingo. Katibu mkuu wa CECAFA Nichoras Musonye pia alikuwepo kutafuta ufumbuzi