Chelsea confirm Salah signing
club ya chelsea ya toa taarifa ya kukamilisha usajili wa salah kutokea basel kwa mkataba wa miaka mitano na nusu na yakwamba atavaa jezi no 15 katika club hiyo yenye makazi yake jiji la london,salah aloye kuwa akiwindwa na liverpool kabla ya chelsea kuingilia sihihi  yake pia mchezaji huyo amefurahi kujiunga na moja ya club kubwa hapo nchini uingeleza ,salah mwenye miaka 21 amepewa mkataba wa miaka mitano na nusu  kwa  matajiri hao wa london
 
Top