Real Madrid C.F. hawajapoteza mechi hata moja katika kipindi cha miezi 5 iliyopita - FC Barcelona ndio timu ya mwisho kuifunga Real Madrid. Wiki hii timu hizo zinakutana katika El Classico - unadhani Barca wataivunja rekodi ya kutokufungwa kwa Real Madrid?
REAL MADRID HAWAJAPOTEZA MECHI KATIKA KIPINDI CHA MIEZI 5 ILIYOPITA - JE BARCA WATAIVUNA REKODI HIYO KWENYE EL CLASSICO WIKIENDI HII?