WAKATI siku za kuanza kwa kombe la dunia nchini Brazil zikizidi kuyoyoma, FIFA wametoa orodha ya viwango vya ubora kabla ya mataifa mbalimbali kwenda kuumana kuanzia juni 12-julai 13.
Jumla ya timu 143 zimebaki katika nafasi zao za mwezi wa nne, lakini kumetokea mabadiliko makubwa katika timu 10 bora.
Wenyeji wa kombe la dunia, Brazil wamekuwa taifa la juu zaidi katika viwango vya mwezi mei kutoka bara la Amerika.
Samba Boys wamepanda mpaka nafasi ya 4 katika orodha ya mwezi huu, huku Colombia wakishika nafasi ya tano na Uruguay wakishika nafasi ya tano.
Hii ndio nafasi nzuri zaidi waliyoshika Brazil katika viwango vya FIFA tangu mwaka 2011., imesema Fifa.com
Hii ndio orodha ya timu ishirini mwezi huu wa tano.
Position | Nation | Places Moved | Points |
1. | Spain | 0 | 1460 |
2. | Germany | 0 | 1340 |
3. | Portugal | 0 | 1245 |
4. | Brazil | Up 2 | 1210 |
5. | Colombia | Down 1 | 1186 |
6. | Uruguay | Down 1 | 1181 |
7. | Argentina | Down 1 | 1178 |
8. | Switzerland | 0 | 1161 |
9. | Italy | 0 | 1115 |
10. | Greece | 0 | 1082 |
11. | England | 0 | 1043 |
12. | Belgium | 0 | 1039 |
13. | Chile | Up 1 | 1037 |
14. | USA | Down 1 | 1015 |
15. | Netherlands | 0 | 967 |
16. | France | 0 | 935 |
17. | Ukraine | 0 | 913 |
18. | Russia | 0 | 903 |
19. | Mexico | 0 | 877 |
20. | Croatia | 0 | 871 |
Fifa.com