Brand New Video: Wahalade - Barnaba Ile video mpya ya Barnaba "Wahalade" niliyokuhabarisha kuwa video queen wake ni mke wake mwenye a.k.a Mama Steve, hii hapa ndo ishatoka.