kwa sasa naamini utukutu wa mario utakuwa umeisha maana hata umri wake umekuwa na anatakiwa kujituma zaidi katika fani yake..kocha liverpool rodger ambaye alikubali kumuuza suarez na kwenda barcelona kwa sasa anahitaji pia saini ya falcao ambaye anakipiga nchini ufaransa
DONE DEAL : USAJILI WA WACHEZAJI ULIO KAMILIKA MPAKA SA HIVI