SERENGETI FIESTA YAFUNIKA MKOANI TANGA Shabiki akimkubali jux kwa shoo aliyoionyesha. Ommy Dimpoz akiwajibika mbele ya mashabiki zake. Madee akifanya makamuzi jukwaani. Tunda Man naye akifanya yake. Young killer akikonga nyoyo za mashabiki katika Tamasha la Fiesta usiku wa kuamkia leo.