kocha mkuu wa man u van gal akiwa na kocha msaidizi giggs
Cambiasso akishangilia goli alilofunga dhidi ya Manchester United katika uwanja wa The King Power
MANCHESTER United wakicheza ugenini wametandikwa mabao 5-3 dhidi ya Leicester.
Magoli ya wenyeji yalifungwa na Ulloa (2), Nugent, Cambiasso na Vardy.
United walijipatia magoli yao kupitia kwa Van Persie, Di Maria na Herrera
Katika mechi nyingine iliyomalizika jioni hii, Tottenham wakiwa nyumbani wamepigwa 1-0 na West Brom.
Muda huu mechi mbili zinaendelea ambapo Everton wapo nyumbani kuivaa Crystal Palace, wakati Man City wanachuana na Chelsea katika uwanja wa Etihad.