barcelona yaifunga levante nyumbani goli 5 kwa bila huku safu ya ushindi ikiongozwa na neymar dk 34,rakitic,sandro,pedro nakuhitimisha messi.katika mchezo huo uliotawaliwa na soka zuri la barca neymar aliumia na kupelekea kutolewa nje mara baada ya maumivu ya ankle ya kushoto
kocha wa fc.barca akiongea katika press confre baada ya mechi kuisha na kusema timu yake inaanza kurejea katika mpira wake wa zamani